1 Mambo ya Nyakati 17:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Nenda, kamwambie mtumishi wangu, Daudi, BWANA asema hivi, Wewe hutanijengea nyumba ya kukaa; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 “Nenda ukamwambie mtumishi wangu Daudi, ‘Mwenyezi-Mungu anasema hivi: Wewe hutanijengea nyumba ya kukaa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 “Nenda ukamwambie mtumishi wangu Daudi, ‘Mwenyezi-Mungu anasema hivi: Wewe hutanijengea nyumba ya kukaa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 “Nenda ukamwambie mtumishi wangu Daudi, ‘Mwenyezi-Mungu anasema hivi: Wewe hutanijengea nyumba ya kukaa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 “Nenda ukamwambie mtumishi wangu Daudi, ‘Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu: Wewe hutanijengea mimi nyumba ili nikae humo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 “Nenda ukamwambie mtumishi wangu Daudi, ‘Hili ndilo asemalo bwana: Wewe hutanijengea mimi nyumba ili nikae humo. Tazama sura |