1 Mambo ya Nyakati 17:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC26 Na sasa, Ee BWANA, wewe ndiwe Mungu, nawe umemwahidia mtumishi wako jambo hili jema; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Sasa ee Mwenyezi-Mungu, wewe ndiwe Mungu, umeniahidi mimi mtumishi wako jambo hili jema; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Sasa ee Mwenyezi-Mungu, wewe ndiwe Mungu, umeniahidi mimi mtumishi wako jambo hili jema; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Sasa ee Mwenyezi-Mungu, wewe ndiwe Mungu, umeniahidi mimi mtumishi wako jambo hili jema; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Ee Mwenyezi Mungu, wewe ndiwe Mungu! Umemwahidi mtumishi wako mambo haya mazuri. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Ee bwana, wewe ndiwe Mungu! Umemwahidi mtumishi wako mambo haya mazuri. Tazama sura |