1 Mambo ya Nyakati 17:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Kwa kuwa wewe, Ee Mungu wangu, umenifunulia mimi mtumishi wako ya kuwa utanijengea nyumba; kwa hiyo mimi mtumishi wako nimeona vema moyoni mwangu kuomba mbele yako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Maana ee Mungu wangu nimepata ujasiri kukuomba kwa sababu wewe, umenifunulia ukisema ya kwamba utanijengea nyumba. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Maana ee Mungu wangu nimepata ujasiri kukuomba kwa sababu wewe, umenifunulia ukisema ya kwamba utanijengea nyumba. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Maana ee Mungu wangu nimepata ujasiri kukuomba kwa sababu wewe, umenifunulia ukisema ya kwamba utanijengea nyumba. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 “Wewe, Mungu wangu, umemfunulia mtumishi wako Daudi kwamba utamjengea nyumba. Hivyo mtumishi wako amekuwa na ujasiri wa kukuomba maombi haya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 “Wewe, Mungu wangu, umemfunulia mtumishi wako Daudi kwamba utamjengea yeye nyumba. Hivyo mtumishi wako amekuwa na ujasiri wa kukuomba maombi haya. Tazama sura |