1 Mambo ya Nyakati 17:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Kwa maneno hayo yote, na kwa maono hayo yote, ndivyo Nathani alivyonena na Daudi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Nathani alimwelezea Daudi mambo yote haya kulingana na maono yote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Nathani alimwelezea Daudi mambo yote haya kulingana na maono yote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Nathani alimwelezea Daudi mambo yote haya kulingana na maono yote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Nathani akamwarifu Daudi maneno yote ya maono haya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Nathani akamwarifu Daudi maneno yote ya maono haya. Tazama sura |