1 Mambo ya Nyakati 17:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 ila nitamstarehesha katika nyumba yangu na katika ufalme wangu milele; na kiti chake cha enzi kitathibitishwa milele. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Bali nitamwimarisha katika nyumba yangu na katika ufalme wangu milele, na kiti chake cha enzi kitakuwa imara daima.’” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Bali nitamwimarisha katika nyumba yangu na katika ufalme wangu milele, na kiti chake cha enzi kitakuwa imara daima.’” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Bali nitamwimarisha katika nyumba yangu na katika ufalme wangu milele, na kiti chake cha enzi kitakuwa imara daima.’” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Nitamweka juu ya nyumba yangu na ufalme wangu milele; kiti chake cha utawala nitakiimarisha milele.’ ” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Nitamweka juu ya nyumba yangu na ufalme wangu milele; kiti chake cha enzi nitakifanya imara milele.’ ” Tazama sura |