1 Mambo ya Nyakati 17:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Yeye ndiye atakayenijengea nyumba, nami nitakiimarisha kiti cha enzi cha ufalme wake milele. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Yeye ndiye atakayenijengea nyumba; nami nitahakikisha kwamba ufalme wake unadumu milele. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Yeye ndiye atakayenijengea nyumba; nami nitahakikisha kwamba ufalme wake unadumu milele. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Yeye ndiye atakayenijengea nyumba; nami nitahakikisha kwamba ufalme wake unadumu milele. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Yeye ndiye atakayejenga nyumba kwa ajili yangu, nami nitakiimarisha kiti cha ufalme wake milele. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Yeye ndiye atakayejenga nyumba kwa ajili yangu, nami nitakifanya imara kiti cha ufalme wake milele. Tazama sura |