1 Mambo ya Nyakati 16:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Mshukuruni BWANA, liitieni jina lake; Wajulisheni watu matendo yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Mpeni shukrani Mwenyezi-Mungu, tangazeni ukuu wake, yajulisheni mataifa mambo aliyoyatenda! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Mpeni shukrani Mwenyezi-Mungu, tangazeni ukuu wake, yajulisheni mataifa mambo aliyoyatenda! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Mpeni shukrani Mwenyezi-Mungu, tangazeni ukuu wake, yajulisheni mataifa mambo aliyoyatenda! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Mshukuruni Mwenyezi Mungu, liitieni jina lake; wajulisheni mataifa yale aliyoyatenda. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Mshukuruni bwana, liitieni jina lake; wajulisheni mataifa yale aliyoyatenda. Tazama sura |
itasikika tena sauti ya furaha na sauti ya shangwe, sauti ya bwana arusi na sauti ya bibi arusi, sauti yao wasemao Mshukuruni BWANA wa majeshi, maana BWANA ni mwema, rehema zake ni za milele; na sauti zao waletao sadaka za shukrani nyumbani kwa BWANA. Kwa kuwa nitawarudisha wafungwa wa nchi hii kama kwanza, asema BWANA.