Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 16:39 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

39 na Sadoki kuhani, na nduguze makuhani, mbele ya maskani ya BWANA katika mahali pa juu palipokuwa huko Gibeoni,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

39 Mfalme Daudi akawaweka kuhani Sadoki na makuhani wenzake kuwa wahudumu wa hema ya Mwenyezi-Mungu iliyokuwa mahali pa kuabudu huko Gibeoni

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

39 Mfalme Daudi akawaweka kuhani Sadoki na makuhani wenzake kuwa wahudumu wa hema ya Mwenyezi-Mungu iliyokuwa mahali pa kuabudu huko Gibeoni

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

39 Mfalme Daudi akawaweka kuhani Sadoki na makuhani wenzake kuwa wahudumu wa hema ya Mwenyezi-Mungu iliyokuwa mahali pa kuabudu huko Gibeoni

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

39 Daudi akamwacha kuhani Sadoki pamoja na makuhani wenzake mbele ya hema la ibada la Mwenyezi Mungu katika mahali pa juu pa kuabudia huko Gibeoni

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

39 Daudi akamwacha kuhani Sadoki pamoja na makuhani wenzake mbele ya hema ya ibada ya bwana katika mahali pa juu pa kuabudia huko Gibeoni

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 16:39
8 Marejeleo ya Msalaba  

na Sadoki, mwana wa Ahitubu, na Ahimeleki, mwana wa Abiathari walikuwa makuhani; na Shausha mwandishi;


Ila Sadoki, kuhani, na Benaya, mwana wa Yehoyada, na Nathani, nabii, na Shimei, na Rei, na mashujaa wa Daudi, hao hawakuwa pamoja na Adonia.


Basi mfalme akaenda Gibeoni, ili atoe dhabihu huko; kwa kuwa ndipo mahali pa juu palipo pakuu. Sulemani akatoa sadaka elfu moja za kuteketezwa juu ya madhabahu ile.


tena Sadoki, kijana shujaa, na wa nyumba ya babaye, makamanda ishirini na wawili.


Tena, Daudi akawaita Sadoki na Abiathari makuhani, na hao Walawi, Urieli, Asaya, Yoeli, Shemaya, Elieli, na Aminadabu,


Kwa maana ile maskani ya BWANA, aliyoifanya Musa jangwani, na madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa, vilikuwapo wakati huo mahali pa juu pa Gibeoni.


Basi Sulemani akatoka mahali pa juu pa Gibeoni, toka mbele ya Hema la kukutania, akaja mpaka Yerusalemu; akatawala Israeli.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo