Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Mambo ya Nyakati 16:37 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

37 Basi akawaacha huko, mbele ya sanduku la Agano la BWANA, Asafu na nduguze, ili watumike mbele ya sanduku daima, kila siku kama ilivyokuwa kazi yake.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

37 Hivyo, mfalme Daudi akawaacha Asafu na nduguze Walawi mahali walipoliweka sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu, kwa ajili ya huduma zinazotakiwa mbele ya sanduku kila siku.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

37 Hivyo, mfalme Daudi akawaacha Asafu na nduguze Walawi mahali walipoliweka sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu, kwa ajili ya huduma zinazotakiwa mbele ya sanduku kila siku.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

37 Hivyo, mfalme Daudi akawaacha Asafu na nduguze Walawi mahali walipoliweka sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu, kwa ajili ya huduma zinazotakiwa mbele ya sanduku kila siku.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

37 Daudi akamwacha Asafu na wenzake mbele ya Sanduku la Agano la Mwenyezi Mungu, ili wahudumu humo mara kwa mara, kulingana na mahitaji ya kila siku.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

37 Daudi akamwacha Asafu na wenzake mbele ya Sanduku la Agano la bwana ili wahudumu humo mara kwa mara, kulingana na mahitaji ya kila siku.

Tazama sura Nakili

1 Mambo ya Nyakati 16:37
6 Marejeleo ya Msalaba  

Akaziamuru, kulingana na agizo la Daudi babaye, zamu za makuhani za kutumika, nao Walawi kwa kadiri ya malinzi yao, ili kusifu, na kuhudumu mbele ya makuhani, kama ilivyohitajiwa kila siku; tena mabawabu kwa zamu zao za kila mlango; maana ndivyo alivyoamuru Daudi mtu wa Mungu.

Wakaishika sikukuu ya vibanda, kama ilivyoandikwa, wakatoa sadaka za kuteketezwa za kila siku kwa hesabu yake, kama ilivyoagizwa, kama ilivyopasa kila siku;

Kila siku nitakuhimidi, Nitalisifu jina lako milele na milele.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo