1 Mambo ya Nyakati 16:34 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC34 Mshukuruni BWANA kwa kuwa ni mwema; Kwa maana fadhili zake ni za milele. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 Mshukuruni Mwenyezi-Mungu kwa kuwa ni mwema, kwa maana fadhili zake zadumu milele! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Mshukuruni Mwenyezi-Mungu kwa kuwa ni mwema, kwa maana fadhili zake zadumu milele! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Mshukuruni Mwenyezi-Mungu kwa kuwa ni mwema, kwa maana fadhili zake zadumu milele! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 Mshukuruni Mwenyezi Mungu kwa kuwa ni mwema; fadhili zake zadumu milele. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 Mshukuruni bwana kwa kuwa ni mwema; upendo wake wadumu milele. Tazama sura |
hata ikawa, wenye panda na waimbaji walipokuwa kama mmoja, wakisikizisha sauti moja ya kumsifu na kumshukuru BWANA nao wakipaza sauti pamoja na panda na matoazi na vinanda, wakimsifu BWANA, wakisema, Kwa kuwa ni mwema; kwa maana fadhili zake ni za milele; ndipo nyumba ikajawa na wingu, naam, nyumba ya BWANA,
itasikika tena sauti ya furaha na sauti ya shangwe, sauti ya bwana arusi na sauti ya bibi arusi, sauti yao wasemao Mshukuruni BWANA wa majeshi, maana BWANA ni mwema, rehema zake ni za milele; na sauti zao waletao sadaka za shukrani nyumbani kwa BWANA. Kwa kuwa nitawarudisha wafungwa wa nchi hii kama kwanza, asema BWANA.