1 Mambo ya Nyakati 16:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC32 Bahari na ivume na vyote viijazavyo; Mashamba na yashangilie na vyote vilivyomo; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Bahari na ivume, pamoja na vyote vilivyomo! Furahini enyi mashamba na vyote vilivyomo! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Bahari na ivume, pamoja na vyote vilivyomo! Furahini enyi mashamba na vyote vilivyomo! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Bahari na ivume, pamoja na vyote vilivyomo! Furahini enyi mashamba na vyote vilivyomo! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Bahari na ivume, na vyote vilivyo ndani yake; mashamba na yashangilie, na vyote vilivyomo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Bahari na ivume, na vyote vilivyomo ndani yake; mashamba na yashangilie, na vyote vilivyomo ndani yake. Tazama sura |