Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 16:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

28 Mpeni BWANA, enyi jamaa za watu, Mpeni BWANA utukufu na nguvu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Mpeni Mwenyezi-Mungu, heshima enyi jamii zote za watu, naam, kirini utukufu na nguvu yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Mpeni Mwenyezi-Mungu, heshima enyi jamii zote za watu, naam, kirini utukufu na nguvu yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Mpeni Mwenyezi-Mungu, heshima enyi jamii zote za watu, naam, kirini utukufu na nguvu yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 Mpeni Mwenyezi Mungu, enyi jamaa za mataifa, mpeni Mwenyezi Mungu utukufu na nguvu,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 Mpeni bwana, enyi jamaa za mataifa, mpeni bwana utukufu na nguvu,

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 16:28
20 Marejeleo ya Msalaba  

Heshima na adhama ziko mbele zake; Nguvu na furaha zipo mahali pake.


Mpeni BWANA utukufu wa jina lake; Leteni sadaka, na mje mbele zake; Mwabuduni BWANA kwa uzuri wa utakatifu;


Mataifa na washangilie, Naam, waimbe kwa furaha, Maana kwa haki utawahukumu watu, Na kuwaongoza mataifa walioko duniani.


Mungu atatubariki sisi; Miisho yote ya dunia itamcha Yeye.


Mhesabieni Mungu nguvu; Enzi yake imo juu ya Israeli; Na nguvu zake ziko mawinguni.


Mpeni BWANA, enyi jamaa za watu, Mpeni BWANA utukufu na nguvu.


Mshangilieni BWANA, nchi yote, Inueni sauti, imbeni kwa furaha, imbeni sifa.


Na itakuwa katika siku hiyo, shina la Yese lisimamalo kuwa ishara kwa makabila ya watu, yeye ndiye ambaye mataifa watamtafuta; na mahali pake pa kupumzikia patakuwa na utukufu.


Lakini kwa neema ya Mungu nimekuwa hivi nilivyo; na neema yake iliyo kwangu ilikuwa si bure, bali nilizidi sana kufanya kazi kupita wao wote; wala si mimi, bali ni neema ya Mungu pamoja nami.


Na usifiwe utukufu wa neema yake, ambayo ametuneemesha katika huyo Mpendwa.


Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu.


Kwa hiyo mtafanya sanamu za majipu yenu, na sanamu za panya wenu wanaoiharibu nchi; nanyi mtamtukuza huyo Mungu wa Israeli; huenda ataupunguza uzito wa mkono wake juu yenu, na juu ya miungu yenu, na juu ya nchi yenu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo