Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 16:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

26 Maana miungu yote ya watu si kitu; Lakini BWANA ndiye aliyezifanya mbingu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Miungu yote ya mataifa mengine si kitu; lakini Mwenyezi-Mungu aliziumba mbingu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Miungu yote ya mataifa mengine si kitu; lakini Mwenyezi-Mungu aliziumba mbingu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Miungu yote ya mataifa mengine si kitu; lakini Mwenyezi-Mungu aliziumba mbingu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Kwa maana miungu yote ya mataifa ni sanamu, lakini Mwenyezi Mungu aliziumba mbingu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 Kwa maana miungu yote ya mataifa ni sanamu, lakini bwana aliziumba mbingu.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 16:26
14 Marejeleo ya Msalaba  

Heshima na adhama ziko mbele zake; Nguvu na furaha zipo mahali pake.


Ambaye peke yake ni mwenye kuzitandika mbingu, Na kuyakanyaga mawimbi ya bahari.


Hapo mwanzo uliutia msingi wa nchi, Na mbingu ni kazi ya mikono yako.


Maana miungu yote ya watu si kitu, Lakini BWANA ndiye aliyezifanya mbingu.


Inueni macho yenu juu, mkaone; ni nani aliyeziumba hizi; aletaye nje jeshi lao kwa hesabu; aziita zote kwa majina; kwa ukuu wa uweza wake, na kwa kuwa yeye ni hodari kwa nguvu zake; hapana moja isiyokuwapo mahali pake.


Mungu BWANA anena, yeye aliyeziumba mbingu, na kuzitanda; yeye aliyeitandaza nchi na mazao yake; yeye awapaye pumzi watu walio juu yake; yeye awapaye roho wao waendao ndani yake.


BWANA, mkombozi wako, yeye aliyekuumba tumboni, asema hivi; Mimi ni BWANA, nifanyaye vitu vyote; nizitandaye mbingu peke yangu; niienezaye nchi; ni nani aliye pamoja nami?


Msigeuke kufuata sanamu, wala msijitengenezee miungu ya kusubu mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.


Tena mnaona na kusikia ya kwamba si katika Efeso tu, bali katika Asia yote pia Paulo huyo ameshawishi watu wengi na kuwageuza nia zao, akisema ya kwamba hiyo inayofanywa kwa mikono siyo miungu.


Basi kuhusu kuvila vyakula vilivyotolewa sadaka kwa sanamu; twajua ya kuwa sanamu si kitu katika ulimwengu, na ya kuwa hakuna Mungu ila mmoja tu.


akasema kwa sauti kuu, Mcheni Mungu, na kumtukuza, kwa maana saa ya hukumu yake imekuja. Msujudieni yeye aliyezifanya mbingu na nchi na bahari na chemchemi za maji.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo