Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 16:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

24 Watangazieni mataifa habari za utukufu wake, Na watu wote habari za maajabu yake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Yatangazieni mataifa utukufu wake, waambieni watu wote matendo yake ya ajabu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Yatangazieni mataifa utukufu wake, waambieni watu wote matendo yake ya ajabu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Yatangazieni mataifa utukufu wake, waambieni watu wote matendo yake ya ajabu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Tangazeni utukufu wake katika mataifa, matendo yake ya ajabu miongoni mwa mataifa yote.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Tangazeni utukufu wake katikati ya mataifa, matendo yake ya ajabu miongoni mwa mataifa yote.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 16:24
9 Marejeleo ya Msalaba  

Basi sasa, Ee BWANA, Mungu wetu, utuokoe na mkono wake, nakusihi, ili kwamba falme zote za dunia zipate kujua ya kuwa wewe ndiwe BWANA Mungu, wewe peke yako.


Mwimbieni BWANA, nchi yote; Tangazeni wokovu wake siku baada ya siku.


Kwa kuwa BWANA ni mkuu mwenye kusifiwa sana; Na wa kuhofiwa kuliko miungu yote.


Mwimbieni, mwimbieni nyimbo za kumsifu; Yatangazeni matendo yake yote ya ajabu.


Miisho yote ya dunia itakumbuka, Na watu watamrejea BWANA; Jamaa zote za mataifa watamsujudia.


Ili niitangaze sauti ya kushukuru, Na kuzisimulia kazi zako za ajabu.


Nami nitaweka ishara kati yao, nami nitawatuma hao waliookoka kwa mataifa, Tarshishi, na Puli, na Ludi, wavutao upinde, kwa Tubali na Yavani, visiwa vilivyo mbali; watu wasioisikia habari yangu, wala kuuona utukufu wangu; nao watahubiri utukufu wangu katika mataifa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo