1 Mambo ya Nyakati 16:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 Mwimbieni BWANA, nchi yote; Tangazeni wokovu wake siku baada ya siku. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Mwimbieni Mwenyezi-Mungu, ulimwengu wote. Tangazeni kila siku matendo yake ya wokovu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Mwimbieni Mwenyezi-Mungu, ulimwengu wote. Tangazeni kila siku matendo yake ya wokovu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Mwimbieni Mwenyezi-Mungu, ulimwengu wote. Tangazeni kila siku matendo yake ya wokovu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Mwimbieni Mwenyezi Mungu dunia yote; tangazeni wokovu wake siku baada ya siku. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Mwimbieni bwana dunia yote; tangazeni wokovu wake siku baada ya siku. Tazama sura |