Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 16:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

22 Akisema, Msiwaguse masihi wangu, Wala msiwadhuru nabii zangu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 “Msiwaguse wateule wangu; msiwadhuru manabii wangu!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 “Msiwaguse wateule wangu; msiwadhuru manabii wangu!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 “Msiwaguse wateule wangu; msiwadhuru manabii wangu!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 “Msiwaguse niliowapaka mafuta; msiwadhuru manabii wangu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 “Msiwaguse niliowatia mafuta; msiwadhuru manabii wangu.”

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 16:22
8 Marejeleo ya Msalaba  

Basi sasa umrudishe mwanamke kwa mtu huyo, maana yeye ni nabii, naye atakuombea, upate kuishi. Bali usipomrudisha, fahamu ya kwamba kwa hakika utakufa wewe na watu wote ulio nao.


Na Yehu mwana wa Nimshi mtie mafuta awe mfalme wa Israeli; na Elisha mwana wa Shafati wa Abel-Mehola mtie mafuta awe nabii mahali pako.


Mwimbieni BWANA, nchi yote; Tangazeni wokovu wake siku baada ya siku.


Akisema, Msiwaguse masihi wangu, Wala msiwadhuru nabii zangu.


Nanyi, mafuta yale mliyoyapata kwake yanakaa ndani yenu, wala hamna haja ya mtu kuwafundisha; lakini kama mafuta yake yanavyowafundisha habari za mambo yote, tena ni kweli wala si uongo, na kama yalivyowafundisha, kaeni ndani yake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo