Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 16:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

21 Hakumwacha mtu awaonee; Hata wafalme aliwakemea kwa ajili yao;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Mungu hakumruhusu mtu yeyote awadhulumu; kwa ajili yao aliwaonya wafalme:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Mungu hakumruhusu mtu yeyote awadhulumu; kwa ajili yao aliwaonya wafalme:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Mungu hakumruhusu mtu yeyote awadhulumu; kwa ajili yao aliwaonya wafalme:

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Hakuruhusu mtu yeyote awadhulumu; kwa ajili yao aliwakemea wafalme, akisema:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Hakuruhusu mtu yeyote awaonee; kwa ajili yao aliwakemea wafalme, akisema:

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 16:21
9 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini BWANA akampiga Farao na nyumba yake mapigo makuu, kwa ajili ya Sarai, mkewe Abramu.


Lakini Mungu akamjia Abimeleki katika ndoto ya usiku, akamwambia, Umekuwa mfu wewe kwa sababu ya mwanamke huyu uliyemtwaa, maana ni mke wa mtu.


Mungu akamjia Labani, Mshami, katika ndoto ya usiku, akamwambia, Ujihadhari, usimwambie Yakobo neno la heri wala la shari.


Ninao uwezo mkononi mwangu wa kukufanyia madhara; lakini Mungu wa baba yako usiku huu ameniambia, akisema, Ujihadhari, usimwambie Yakobo neno la heri wala la shari.


Kama Mungu wa baba yangu, Mungu wa Abrahamu na Hofu ya Isaka, hangalikuwa pamoja nami, hakika sasa ungalinifukuza mikono mitupu. Mateso yangu na kazi za mikono yangu Mungu ameziona, akakukemea usiku huu.


Mkitangatanga toka taifa hadi taifa, Toka ufalme mmoja hadi kwa watu wengine.


Mambo hayo yatawapata kwa sababu ya kiburi chao, kwa kuwa wamewatukana watu wa BWANA wa majeshi, na kujitukuza juu yao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo