Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 16:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

20 Mkitangatanga toka taifa hadi taifa, Toka ufalme mmoja hadi kwa watu wengine.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 mkitangatanga toka taifa hadi taifa, kutoka nchi moja hadi nchi nyingine,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 mkitangatanga toka taifa hadi taifa, kutoka nchi moja hadi nchi nyingine,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 mkitangatanga toka taifa hadi taifa, kutoka nchi moja hadi nchi nyingine,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 walitangatanga kutoka taifa moja hadi lingine, kutoka ufalme mmoja hadi mwingine.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 walitangatanga kutoka taifa moja hadi jingine, kutoka ufalme mmoja hadi mwingine.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 16:20
6 Marejeleo ya Msalaba  

Basi kulikuwa na njaa katika nchi ile; Abramu akashuka Misri, akae huko kwa muda maana njaa ilikuwa kali katika nchi.


Abrahamu akaondoka huko kwenda nchi ya kusini, akakaa kati ya Kadeshi na Shuri, naye akatembea katika Gerari.


Akasema, Mimi ni Mungu, Mungu wa baba yako, usiogope kushuka mpaka Misri; maana nitakufanya uwe taifa kubwa huko.


Wakatwaa na wanyama wao, na mali zao walizokuwa wamepata katika nchi ya Kanaani, wakaja Misri, Yakobo na uzao wake wote pamoja naye.


Mlipokuwa watu wawezao kuhesabiwa; Naam, watu wachache na wageni ndani yake.


Hakumwacha mtu awaonee; Hata wafalme aliwakemea kwa ajili yao;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo