Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 16:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

19 Mlipokuwa watu wawezao kuhesabiwa; Naam, watu wachache na wageni ndani yake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Idadi yenu ilikuwa ndogo, mlikuwa wachache na wageni katika nchi ya Kanaani,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Idadi yenu ilikuwa ndogo, mlikuwa wachache na wageni katika nchi ya Kanaani,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Idadi yenu ilikuwa ndogo, mlikuwa wachache na wageni katika nchi ya Kanaani,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Walipokuwa wachache kwa idadi, wachache sana na wageni ndani yake,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Walipokuwa wachache kwa idadi, wachache sana na wageni ndani yake,

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 16:19
5 Marejeleo ya Msalaba  

Yakobo akawaambia Simeoni na Lawi, Mmenitaabisha, kunifanya ninuke vibaya kati ya watu wa nchi hii, Wakanaani na Waperizi; na mimi, kwa kuwa watu wangu ni haba, watanikusanyikia, na kunipiga, nami nitaangamizwa, mimi na nyumba yangu.


Mkitangatanga toka taifa hadi taifa, Toka ufalme mmoja hadi kwa watu wengine.


Wala hakumpa urithi humu hata kiasi cha kuweka mguu; akaahidi kwamba atampa, iwe milki yake, na ya uzao wake baadaye alipokuwa hana mtoto.


BWANA hakuwapenda ninyi, wala hakuwachagua ninyi, kwa sababu mlikuwa wengi kuliko mataifa yote, maana mlikuwa wachache kuliko watu wote;


Hawa wote wakafa katika imani, walikuwa hawajazipokea zile ahadi, bali wakaziona tokea mbali na kuzishangilia, na kukiri kwamba walikuwa wageni, na wasafiri juu ya nchi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo