Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 16:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

17 Aliyomthibitishia Yakobo kuwa amri, Na kwa Israeli kuwa agano la milele.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Alimthibitishia Yakobo ahadi yake, akamhakikishia agano hilo la milele.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Alimthibitishia Yakobo ahadi yake, akamhakikishia agano hilo la milele.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Alimthibitishia Yakobo ahadi yake, akamhakikishia agano hilo la milele.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Alilithibitisha kwa Yakobo kuwa amri, kwa Israeli liwe agano la milele:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Alilithibitisha kwa Yakobo kuwa amri, kwa Israeli liwe agano la milele:

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 16:17
9 Marejeleo ya Msalaba  

Je! Sivyo ilivyo nyumba yangu mbele za BWANA? Kwa kuwa amefanya nami agano la milele; Ina taratibu katika yote, ni thabiti, Maana ni wokovu wangu wote, na shauku langu lote.


Hawakulishika agano la Mungu; Wakakataa kufuata sheria yake;


Nami nimesema, Nitawapandisha kutoka katika mateso ya Misri na kuwaingiza katika nchi ya Mkanaani, na Mhiti, na Mwamori, na Mperizi, na Mhivi, na Myebusi, nchi ijaayo maziwa na asali.


Tegeni masikio yenu, na kunijia; Sikieni, na nafsi zenu zitaishi; Nami nitafanya nanyi agano la milele, Naam, rehema za Daudi zilizo imara.


Yasikieni maneno ya maagano haya; ukaseme na watu wa Yuda, na wenyeji wa Yerusalemu;


Basi, Mungu wa amani aliyemleta tena kutoka kwa wafu Mchungaji Mkuu wa kondoo, kwa damu ya agano la milele, yeye Bwana wetu Yesu,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo