1 Mambo ya Nyakati 16:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Likumbukeni agano lake milele, Neno lile aliloviamuru vizazi elfu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Yeye hulishika agano lake milele, hutimiza ahadi zake kwa vizazi elfu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Yeye hulishika agano lake milele, hutimiza ahadi zake kwa vizazi elfu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Yeye hulishika agano lake milele, hutimiza ahadi zake kwa vizazi elfu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Hulikumbuka agano lake milele, neno ambalo aliamuru, kwa vizazi elfu, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Hulikumbuka agano lake milele, neno ambalo aliamuru, kwa vizazi elfu, Tazama sura |