Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 16:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

14 Yeye, BWANA, ndiye Mungu wetu; Duniani kote kuna hukumu zake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Yeye Mwenyezi-Mungu, ndiye Mungu wetu; hukumu zake zina nguvu duniani kote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Yeye Mwenyezi-Mungu, ndiye Mungu wetu; hukumu zake zina nguvu duniani kote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Yeye Mwenyezi-Mungu, ndiye Mungu wetu; hukumu zake zina nguvu duniani kote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Yeye ndiye Mwenyezi Mungu, Mungu wetu; hukumu zake ziko duniani kote.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Yeye ndiye bwana Mwenyezi Mungu wetu; hukumu zake zimo duniani pote.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 16:14
12 Marejeleo ya Msalaba  

Agano langu nitalifanya imara kati yangu na wewe, na uzao wako baada yako, na vizazi vyao, kuwa agano la milele, kwamba nitakuwa Mungu kwako na kwa uzao wako baada yako.


Yakumbukeni matendo yake yote ya ajabu aliyoyafanya; Miujiza yake na hukumu za kinywa chake;


Enyi wazao wa Israeli, mtumishi wake, Enyi wana wa Yakobo, wateule wake.


Likumbukeni agano lake milele, Neno lile aliloviamuru vizazi elfu.


Jueni kwamba BWANA ndiye Mungu; Ndiye aliyetuumba na sisi tu watu wake; Tu watu wake, na kondoo wa malisho yake.


Ndiwe Mungu wangu, nami nitakushukuru, Ndiwe Mungu wangu, nami nitakutukuza.


Ee MUNGU, Mungu wangu, nitakutafuta mapema, Nafsi yangu inakuonea kiu, Mwili wangu wakuonea shauku, Katika nchi kame na uchovu, isiyo na maji.


Kwa maana ndiye Mungu wetu, Na sisi tu watu wa malisho yake, Na kondoo za mkono wake. Ingekuwa heri leo msikie sauti yake!


BWANA ni nguvu zangu, na wimbo wangu; Naye amekuwa wokovu wangu. Yeye ni Mungu wangu, nami nitamsifu; Ni Mungu wa baba yangu, nami nitamtukuza.


Kwa nafsi yangu nimekutamani wakati wa usiku; Naam, kwa nafsi yangu ndani yangu nitakutafuta mapema; Maana hukumu zako zikiwapo duniani, Watu wakaao duniani hujifunza haki.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo