Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 16:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

11 Mtafuteni BWANA na nguvu zake; Utafuteni uso wake siku zote.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Mwendeeni Mwenyezi-Mungu mwenye nguvu; mwendeeni Mwenyezi-Mungu daima.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Mwendeeni Mwenyezi-Mungu mwenye nguvu; mwendeeni Mwenyezi-Mungu daima.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Mwendeeni Mwenyezi-Mungu mwenye nguvu; mwendeeni Mwenyezi-Mungu daima.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Mtafuteni Mwenyezi Mungu na nguvu zake; utafuteni uso wake siku zote.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Mtafuteni bwana na nguvu zake; utafuteni uso wake siku zote.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 16:11
11 Marejeleo ya Msalaba  

Jisifuni kwa jina lake takatifu; Na ufurahi moyo wao wamtafutao BWANA.


Sasa, Ee BWANA, Mungu, uondoke, uende kwenye raha yako, wewe na sanduku la nguvu zako; makuhani wako, Ee BWANA, Mungu, wavikwe wokovu, watakatifu wako na washangilie mema.


Hiki ndicho kizazi cha wamtafutao, Wakutafutao uso wako, Ee Mungu wa Yakobo.


Wengi husema, Nani atakayetuonesha mema? BWANA, utuinulie nuru ya uso wako.


Mungu na atufadhili na kutubariki, Na kutuangazia uso wake.


Mungu ni mwenye kutisha Kutoka patakatifu pako. Ndiye Mungu wa Israeli; Yeye huwapa watu wake nguvu na uwezo. Na ahimidiwe Mungu.


Akaziacha nguvu zake kutekwa, Na fahari yake mkononi mwa mtesi.


Wapitapo katika bonde la baraka, Hulifanya kuwa chemchemi, Naam, mvua ya vuli hulijaza baraka.


Mtafuteni BWANA, nanyi mtaishi; asije akawaka kama moto katika nyumba ya Yusufu, nao ukateketeza, asiwepo mtu awezaye kuuzima katika Betheli.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo