Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 16:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

10 Jisifuni kwa jina lake takatifu; Na ufurahi moyo wao wamtafutao BWANA.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Jisifieni jina lake takatifu; wenye kumcha Mwenyezi-Mungu na wafurahi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Jisifieni jina lake takatifu; wenye kumcha Mwenyezi-Mungu na wafurahi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Jisifieni jina lake takatifu; wenye kumcha Mwenyezi-Mungu na wafurahi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Lishangilieni jina lake takatifu; mioyo ya wale wanaomtafuta Mwenyezi Mungu na ifurahi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Lishangilieni jina lake takatifu; mioyo ya wale wamtafutao bwana na ifurahi.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 16:10
16 Marejeleo ya Msalaba  

Mtafuteni BWANA na nguvu zake; Utafuteni uso wake siku zote.


Mwimbieni, mwimbieni nyimbo za kumsifu; Yatangazeni matendo yake yote ya ajabu.


Basi sasa jitieni moyo na nia kumtafuta BWANA, Mungu wenu; inukeni basi, mkamjengee BWANA Mungu mahali patakatifu, ili kulileta sanduku la Agano la BWANA, na vyombo vitakatifu vya Mungu, ndani ya nyumba itakayojengwa kwa ajili ya jina la BWANA.


Nawe, Sulemani mwanangu, mjue Mungu wa baba yako, ukamtumikie kwa moyo mkamilifu, na kwa nia ya kumkubali; kwa kuwa BWANA huchunguza mioyo yote, na kuyatambua mawazo yote ya fikira; ukimtafuta, atakuwa nawe; ukimwacha, atakutupa milele.


Na Yuda wote wakakifurahia kile kiapo; kwani wameapa kwa moyo wao wote, na kumtafuta kwa mapenzi yao pia; naye ameonekana kwao; naye BWANA akawastarehesha pande zote.


Miisho yote ya dunia itakumbuka, Na watu watamrejea BWANA; Jamaa zote za mataifa watamsujudia.


Katika BWANA nafsi yangu itajisifu, Wanyenyekevu wasikie na kufurahi.


Mtukuzeni BWANA pamoja nami, Na tuliadhimishe jina lake pamoja.


Nawapenda wale wanipendao, Na wale wanitafutao kwa bidii wataniona.


Sikusema kwa siri, katika mahali pa nchi ya giza; sikuwaambia wazao wa Yakobo; Nitafuteni bure; Mimi, BWANA, nasema ukweli; nanena mambo ya haki.


Katika BWANA wazao wote wa Israeli watapewa haki, na kutukuka.


Nanyi mtanitafuta na kuniona, mtakaponitafuta kwa moyo wenu wote.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo