1 Mambo ya Nyakati 15:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 wa wana wa Hebroni; Elieli mkuu wao, na nduguze themanini; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 kutoka katika ukoo wa Hebroni, wakaja Elieli pamoja na ndugu zake 80 chini ya usimamizi wake; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 kutoka katika ukoo wa Hebroni, wakaja Elieli pamoja na ndugu zake 80 chini ya usimamizi wake; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 kutoka katika ukoo wa Hebroni, wakaja Elieli pamoja na ndugu zake 80 chini ya usimamizi wake; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Kutoka wazao wa Hebroni, Elieli kiongozi na ndugu zake themanini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Kutoka wazao wa Hebroni, Elieli kiongozi na ndugu zake 80. Tazama sura |