Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Mambo ya Nyakati 15:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

8 wa wana wa Elsafani; Shemaya mkuu wao, na nduguze mia mbili;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 kutoka katika ukoo ya Elisafani, wakaja Shemaya pamoja na ndugu zake 200 chini ya usimamizi wake;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 kutoka katika ukoo ya Elisafani, wakaja Shemaya pamoja na ndugu zake 200 chini ya usimamizi wake;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 kutoka katika ukoo ya Elisafani, wakaja Shemaya pamoja na ndugu zake 200 chini ya usimamizi wake;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Kutoka wazao wa Elisafani, Shemaya kiongozi na ndugu zake mia mbili.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Kutoka wazao wa Elisafani, Shemaya kiongozi na ndugu zake 200.

Tazama sura Nakili

1 Mambo ya Nyakati 15:8
3 Marejeleo ya Msalaba  

wa wana wa Gershoni; Yoeli mkuu wao, na nduguze mia moja na thelathini;

wa wana wa Hebroni; Elieli mkuu wao, na nduguze themanini;

Na wana wa Uzieli; ni Mishaeli, na Elisafani, na Sithri.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo