Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Mambo ya Nyakati 15:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

6 wa wana wa Merari; Asaya mkuu wao, na nduguze mia mbili na ishirini;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 kutoka katika ukoo wa Merari wakaja Asaya pamoja na ndugu zake 220 chini ya usimamizi wake;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 kutoka katika ukoo wa Merari wakaja Asaya pamoja na ndugu zake 220 chini ya usimamizi wake;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 kutoka katika ukoo wa Merari wakaja Asaya pamoja na ndugu zake 220 chini ya usimamizi wake;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Kutoka wazao wa Merari, Asaya kiongozi na ndugu zake mia mbili na ishirini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Kutoka wazao wa Merari, Asaya kiongozi na ndugu zake 220.

Tazama sura Nakili

1 Mambo ya Nyakati 15:6
4 Marejeleo ya Msalaba  

wa wana wa Kohathi; Urieli mkuu wao, na nduguze mia moja na ishirini;

wa wana wa Gershoni; Yoeli mkuu wao, na nduguze mia moja na thelathini;

Waimbaji hutangulia, nyuma yao wapigao vinanda, Kati ya wanawali wapiga matari.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo