1 Mambo ya Nyakati 15:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 wa wana wa Kohathi; Urieli mkuu wao, na nduguze mia moja na ishirini; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Kutoka katika ukoo wa Kohathi, wakaja Urieli, pamoja na ndugu zake120 chini ya usimamizi wake; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Kutoka katika ukoo wa Kohathi, wakaja Urieli, pamoja na ndugu zake120 chini ya usimamizi wake; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 kutoka katika ukoo wa Kohathi, wakaja Urieli, pamoja na ndugu zake120 chini ya usimamizi wake; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Kutoka wazao wa Kohathi, Urieli kiongozi na ndugu zake mia moja na ishirini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Kutoka wazao wa Kohathi, Urieli kiongozi na ndugu zake 120, Tazama sura |