Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 15:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

4 Daudi akawakutanisha wana wa Haruni, na Walawi;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Halafu Daudi akawaita wazawa wa Aroni na Walawi:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Halafu Daudi akawaita wazawa wa Aroni na Walawi:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Halafu Daudi akawaita wazawa wa Aroni na Walawi:

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Kisha Daudi akawakusanya wazao wa Haruni na Walawi:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Kisha Daudi akawakusanya pamoja wazao wa Haruni na Walawi:

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 15:4
7 Marejeleo ya Msalaba  

Daudi akawaambia jamii yote ya Israeli, Likiwa jema kwenu, tena likiwa limetoka kwa BWANA, Mungu wetu, na tutume watu huku na huku mahali pote kwa ndugu zetu waliosalia katika nchi yote ya Israeli, ambao pamoja nao makuhani na Walawi wamo ndani ya miji yao yenye viunga, ili wakusanyike kwetu;


wa wana wa Kohathi; Urieli mkuu wao, na nduguze mia moja na ishirini;


Kisha Nadabu na Abihu walikufa mbele za BWANA, waliposongeza moto wa kigeni mbele za BWANA, katika jangwa la Sinai, nao walikuwa hawana wana; na Eleazari na Ithamari wakafanya kazi ya ukuhani wakati wa uhai wa Haruni baba yao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo