Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 15:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

23 Na Berekia na Elkana walikuwa mabawabu kwa ajili ya sanduku.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Berekia na Elkana walikuwa walinzi wa sanduku la agano.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Berekia na Elkana walikuwa walinzi wa sanduku la agano.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Berekia na Elkana walikuwa walinzi wa sanduku la agano.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Berekia na Elkana walikuwa mabawabu kwa ajili ya Sanduku.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Berekia na Elikana walikuwa mabawabu kwa ajili ya Sanduku.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 15:23
8 Marejeleo ya Msalaba  

Nenda kwa Hilkia, kuhani mkuu, ili aihesabu fedha yote inayoletwa nyumbani mwa BWANA, ambayo mabawabu wameipokea kwa watu;


Na kamanda wa askari walinzi akamtwaa Seraya, kuhani mkuu, na Sefania, kuhani wa pili, na wale walinzi watu wa mlango;


Basi wakaenda, wakawaita mabawabu wa mji; wakawaambia, Tulifika kituo cha Washami, na tazama, hapana mtu yeyote huko, wala sauti ya mtu, ila farasi wamefungwa, na punda wamefungwa, na hema zao kama walivyoziacha.


waongoze. Na Kenania, mkuu wa Walawi katika uimbaji, asimamie uimbaji, kwa sababu alikuwa stadi.


Na Shebania, na Yoshafati, na Nethaneli, na Amasai, na Zekaria, na Benaya, na Eliezeri, makuhani, wakapiga baragumu mbele ya sanduku la Mungu; na Obed-edomu na Yehia walikuwa mabawabu kwa ajili ya sanduku.


Hakika siku moja katika nyua zako Ni bora kuliko siku elfu kwingineko; Ningependa kuwa bawabu nyumbani mwa Mungu wangu, Kuliko kuishi katika hema za uovu.


Naye Samweli akalala hadi asubuhi, akaifungua milango ya nyumba ya BWANA. Samweli akaogopa kumjulisha Eli maono hayo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo