1 Mambo ya Nyakati 14:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Basi hao Wafilisti walikuwa wamekuja na kujitawanya katika bonde la Warefai. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Wafilisti walifika wakaanza mashambulizi katika bonde la Refaimu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Wafilisti walifika wakaanza mashambulizi katika bonde la Refaimu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Wafilisti walifika wakaanza mashambulizi katika bonde la Refaimu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Basi Wafilisti walikuwa wameingia na kushambulia Bonde la Warefai, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Basi Wafilisti walikuwa wameingia na kushambulia Bonde la Warefai, Tazama sura |