1 Mambo ya Nyakati 14:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Sifa za Daudi zikafika nchi zote; naye BWANA akawaletea mataifa yote hofu yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Daudi akawa maarufu kote nchini, naye Mwenyezi-Mungu akayatia hofu mataifa yote, nayo yakamwogopa sana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Daudi akawa maarufu kote nchini, naye Mwenyezi-Mungu akayatia hofu mataifa yote, nayo yakamwogopa sana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Daudi akawa maarufu kote nchini, naye Mwenyezi-Mungu akayatia hofu mataifa yote, nayo yakamwogopa sana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Hivyo umaarufu wa Daudi ukaenea katika kila nchi, naye Mwenyezi Mungu akayafanya mataifa yote kumwogopa Daudi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Hivyo umaarufu wa Daudi ukaenea katika kila nchi, naye bwana akayafanya mataifa yote kumwogopa Daudi. Tazama sura |
Nao wakamjibu Yoshua, na kusema, Ni kwa sababu ya sisi watumishi wako kuambiwa hakika, jinsi huyo BWANA, Mungu wako alivyomwamuru mtumishi wake Musa kuwapa ninyi nchi hii yote, na kuwaangamiza wenyeji wote wa nchi hii watoke mbele zenu; kwa sababu hii tuliogopa mno kwa ajili ya uhai wetu kwa sababu yenu, nasi tumefanya neno hili.