Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Mambo ya Nyakati 14:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

13 Lakini hao Wafilisti wakajitawanya tena mara ya pili bondeni.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Kisha Wafilisti walifanya mashambulizi katika bonde hilo kwa mara ya pili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Kisha Wafilisti walifanya mashambulizi katika bonde hilo kwa mara ya pili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Kisha Wafilisti walifanya mashambulizi katika bonde hilo kwa mara ya pili.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Kwa mara nyingine Wafilisti wakavamia lile bonde;

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Kwa mara nyingine Wafilisti wakavamia lile bonde;

Tazama sura Nakili

1 Mambo ya Nyakati 14:13
5 Marejeleo ya Msalaba  

Naye yule nabii akamjia mfalme wa Israeli, akamwambia, Nenda, kusanya nguvu zako, ujue, na kuangalia ufanyavyo; kwa maana mwakani mfalme wa Shamu atakuja juu yako.

Nao wakaiacha miungu yao huko; naye Daudi akaamuru, ikateketezwa kwa moto.

Na Daudi akamwuliza Mungu tena; naye Mungu akamwambia, Hutapanda kuwafuata; zunguka mbali nao, na kuwajia ukielekea miforsadi.

Basi hao Wafilisti walikuwa wamekuja na kujitawanya katika bonde la Warefai.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo