Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 14:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

12 Nao wakaiacha miungu yao huko; naye Daudi akaamuru, ikateketezwa kwa moto.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Wafilisti walipokimbia, waliziacha sanamu za miungu yao huko, naye Daudi akatoa amri zote zichomwe moto.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Wafilisti walipokimbia, waliziacha sanamu za miungu yao huko, naye Daudi akatoa amri zote zichomwe moto.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Wafilisti walipokimbia, waliziacha sanamu za miungu yao huko, naye Daudi akatoa amri zote zichomwe moto.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Wafilisti walikuwa wametupa miungu yao huko, naye Daudi akaamuru iteketezwe kwa moto.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Wafilisti walikuwa wameacha miungu yao huko, Daudi akaamuru iteketezwe kwa moto.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 14:12
10 Marejeleo ya Msalaba  

Nao wakaziacha sanamu zao huko, na Daudi na watu wake wakaziondolea mbali.


Wakazitoa nguzo zilizokuwamo nyumbani mwa Baali, wakaziteketeza.


na kuitupa miungu yao motoni; kwa maana haikuwa miungu, bali ni kazi ya mikono ya wanadamu; ilikuwa miti na mawe tu, ndiyo sababu wakaiharibu.


Basi wakapanda mpaka Baal-perasimu, Daudi naye akawapiga huko; Daudi akasema, BWANA amewafurikia adui zangu kwa mkono wangu, kama mafuriko ya maji. Basi wakapaita mahali pale jina lake Baal-perasimu.


Lakini hao Wafilisti wakajitawanya tena mara ya pili bondeni.


Maana nitapita kati ya nchi ya Misri usiku huo, nami nitawaua wazaliwa wa kwanza wote katika nchi ya Misri, wa mwanadamu na wa mnyama; nami nitafanya hukumu juu ya miungu yote ya Misri; Mimi ndimi BWANA.


Akaitwaa ile ndama waliyoifanya, akaichoma moto, akaisaga hata ikawa mavumbi, akainyunyiza juu ya maji, akawanywesha wana wa Israeli.


Sanamu za kuchonga za miungu yao mtaziteketeza kwa moto; usitamani fedha wala dhahabu iliyo juu yao, wala usiitwae iwe yako usije ukanaswa nayo; kwa maana ni machukizo kwa BWANA, Mungu wako;


Lakini watendeni hivi; zivunjeni madhabahu zao zibomoeni nguzo zao, yakateni maashera yao, ziteketezeni kwa moto sanamu zao za kuchonga.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo