1 Mambo ya Nyakati 14:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Naye Hiramu, mfalme wa Tiro, akatuma wajumbe kwa Daudi, akampelekea na mierezi, na waashi, na maseremala, ili wamjengee nyumba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Kisha mfalme Hiramu wa Tiro alituma wajumbe kwa Daudi, pia alimpelekea mierezi, waashi na maseremala, ili wamjengee Daudi ikulu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Kisha mfalme Hiramu wa Tiro alituma wajumbe kwa Daudi, pia alimpelekea mierezi, waashi na maseremala, ili wamjengee Daudi ikulu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Kisha mfalme Hiramu wa Tiro alituma wajumbe kwa Daudi, pia alimpelekea mierezi, waashi na maseremala, ili wamjengee Daudi ikulu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Basi Hiramu mfalme wa Tiro akawatuma wajumbe kwa Daudi, wakiwa na magogo ya mwerezi, waashi na maseremala ili kumjengea jumba la kifalme. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Basi Hiramu mfalme wa Tiro akawatuma wajumbe kwa Daudi, wakiwa na magogo ya mierezi, waashi na maseremala ili kumjengea jumba la kifalme. Tazama sura |