1 Mambo ya Nyakati 13:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Nao jamii nzima wakasema ya kwamba watafanya hivyo; kwa kuwa neno hilo lilikuwa jema machoni pa watu wote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Watu wote walikubaliana na pendekezo hilo kwani waliliona kuwa jambo jema. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Watu wote walikubaliana na pendekezo hilo kwani waliliona kuwa jambo jema. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Watu wote walikubaliana na pendekezo hilo kwani waliliona kuwa jambo jema. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Kusanyiko lote wakakubaliana kufanya hivyo, kwa sababu ilionekana vyema kwa watu wote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Kusanyiko lote likakubaliana kufanya hivyo, kwa sababu ilionekana vyema kwa watu wote. Tazama sura |
Akasema, Mfalme akiona vema, nami nikiwa nimepata kibali machoni pake, na neno likionekana jema mbele ya mfalme, nami nikimpendeza machoni pake, na iandikwe amri kuzitangua barua za Hamani mwana wa Hamedatha, Mwagagi, alizotunga na kuziandika ili kuwaangamiza Wayahudi walioko katika mikoa yote ya mfalme.