Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 13:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

14 Sanduku la Mungu likakaa na jamaa ya Obed-edomu, nyumbani mwake, muda wa miezi mitatu; naye BWANA akaibariki nyumba ya Obed-edomu, na yote aliyokuwa nayo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Sanduku hilo la Mungu lilikaa huko kwa Obed-edomu kwa muda wa miezi mitatu, naye Mwenyezi-Mungu akaibariki nyumba ya Obed-edomu na mali yake yote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Sanduku hilo la Mungu lilikaa huko kwa Obed-edomu kwa muda wa miezi mitatu, naye Mwenyezi-Mungu akaibariki nyumba ya Obed-edomu na mali yake yote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Sanduku hilo la Mungu lilikaa huko kwa Obed-edomu kwa muda wa miezi mitatu, naye Mwenyezi-Mungu akaibariki nyumba ya Obed-edomu na mali yake yote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Sanduku la Mungu likakaa kwa jamaa ya Obed-Edomu, nyumbani mwake kwa miezi mitatu, naye Mwenyezi Mungu akaibariki nyumba yake pamoja na kila kitu alichokuwa nacho.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Sanduku la Mungu likabaki pamoja na jamaa ya Obed-Edomu, nyumbani kwake kwa miezi mitatu, naye bwana akaibariki nyumba yake pamoja na kila kitu alichokuwa nacho.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 13:14
8 Marejeleo ya Msalaba  

Labani akamwambia, Iwapo nimeona fadhili machoni pako, kaa, maana nimetambua ya kwamba BWANA amenibariki kwa ajili yako.


Ikawa tokea wakati alipomweka kuwa msimamizi wa nyumba yake, na vyote vilivyomo, BWANA akabariki nyumba ya yule Mmisri kwa ajili ya Yusufu. Baraka za BWANA zikawa juu ya vyote alivyokuwa navyo katika nyumba, na katika shamba.


Basi Daudi hakutaka kulileta sanduku la BWANA kwake mjini mwa Daudi; ila Daudi akalihamisha nyumbani kwa Obed-edomu, Mgiti.


Naye Obed-edomu, pamoja na ndugu zao, sitini na wanane; Obed-edomu na mwana wa Yeduthuni, na Hosa, wawe mabawabu;


Baraka ya BWANA hutajirisha, Wala hachanganyi huzuni nayo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo