Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 13:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

11 Naye Daudi akaona uchungu, kwa kuwa BWANA amemfurikia Uza; akapaita mahali pale Peres-uza hata leo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Daudi alikasirika kwa sababu Mwenyezi-Mungu alimuua Uza akiwa na hasira. Kwa sababu hiyo, mahali hapo huitwa Peres-uza hadi leo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Daudi alikasirika kwa sababu Mwenyezi-Mungu alimuua Uza akiwa na hasira. Kwa sababu hiyo, mahali hapo huitwa Peres-uza hadi leo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Daudi alikasirika kwa sababu Mwenyezi-Mungu alimuua Uza akiwa na hasira. Kwa sababu hiyo, mahali hapo huitwa Peres-uza hadi leo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Ndipo Daudi akakasirika kwa sababu ghadhabu ya Mwenyezi Mungu ilifurika dhidi ya Uza, mahali pale pakaitwa Peres-Uza hadi leo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Ndipo Daudi akakasirika kwa sababu ghadhabu ya bwana ilifurika dhidi ya Uza, mahali pale pakaitwa Peres-Uza hadi leo.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 13:11
11 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa hiyo wana wa Israeli hawali ule mshipa ulio katika uvungu wa paja hata leo; maana alimgusa Yakobo panapo uvungu wa paja katika mshipa wa kiuno.


Ndipo hasira ya BWANA ikawaka juu ya Uza; naye Mungu akampiga huko kwa kosa lake; hata akafa pale pale penye sanduku la Mungu.


Naye Daudi akamwogopa BWANA siku ile; akasema, Litanijiaje sanduku la BWANA?


Ndipo hasira ya BWANA ikawaka juu ya Uza, naye akampiga, kwa sababu alilinyoshea sanduku mkono wake, hadi akafa pale pale mbele za Mungu.


Naye Daudi akamwogopa Mungu siku ile, akasema, Nitajileteaje sanduku la Mungu kwangu?


Kwa kuwa ninyi hamkulichukua safari ya kwanza, BWANA, Mungu wetu, alitufurikia, kwa maana hatukumtafuta kulingana na sheria.


Makuhani nao, wamkaribiao BWANA, na wajitakase, BWANA asije akawakasirikia.


Naye BWANA akasema, Je! Unatenda vema kukasirika?


Mungu akamwambia Yona, Je! Unatenda vema kukasirika kwa ajili ya mtango? Naye akasema, Ndiyo, natenda vema kukasirika hata kufa.


Akamzika bondeni, katika nchi ya Moabu, kukabili Beth-peori; lakini hapana mtu ajuaye kaburi lake hata leo.


Kisha Yoshua akapanga mawe kumi na mawili katikati ya Yordani, mahali pale miguu ya hao makuhani waliolichukua hilo sanduku la Agano iliposimama; nayo yapo pale pale hata hivi leo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo