Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 12:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

7 na Yoela, na Zebadia, wana wa Yerohamu, wa Gedori.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 na Yoela na Zebadia, wana wa Yerohamu, kutoka Gedori.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 na Yoela na Zebadia, wana wa Yerohamu, kutoka Gedori.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 na Yoela na Zebadia, wana wa Yerohamu, kutoka Gedori.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Yoela na Zebadia, wana wa Yerohamu kutoka Gedori.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Yoela na Zebadia, wana wa Yerohamu, kutoka Gedori.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 12:7
5 Marejeleo ya Msalaba  

Elkana, na Ishia, na Azaleli, na Yoezeri, na Yashobeamu, Wakora;


Na wa Wagadi wakajitenga kumfuata Daudi ngomeni huko nyikani, wanaume mashujaa, watu waliozoea vita, walioweza kutumia ngao na mkuki; ambao nyuso zao zilikuwa kama nyuso za simba, nao walikuwa wepesi kama kulungu juu ya milima;


Na mkewe Myahudi akawazaa Yeredi, babaye Gedori, na Heberi, babaye Soko, na Yekuthieli, babaye Zanoa. Na hawa ndio wana wa Bithia, binti Farao, ambaye Meredi alimwoa.


Basi wakaenda mpaka maingilio ya Gedori, naam, mpaka upande wa mashariki wa bonde hilo, ili kuwatafutia kondoo wao malisho.


Halhuli, Beth-suri, Gedori;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo