Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 12:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

4 na Ishmaya Mgibeoni, shujaa wa wale thelathini, naye alikuwa juu ya wale thelathini; na Yeremia, na Yahazieli, na Yohana, na Yozabadi Mgederathi;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Ishmaya kutoka Gibeoni, mtu shujaa miongoni mwa wale thelathini na kiongozi wao pia pamoja na Yeremia, Yahazieli, Yohanani, Yozabadi kutoka Gedera,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Ishmaya kutoka Gibeoni, mtu shujaa miongoni mwa wale thelathini na kiongozi wao pia pamoja na Yeremia, Yahazieli, Yohanani, Yozabadi kutoka Gedera,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Ishmaya kutoka Gibeoni, mtu shujaa miongoni mwa wale thelathini na kiongozi wao pia pamoja na Yeremia, Yahazieli, Yohanani, Yozabadi kutoka Gedera,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 na Ishmaya Mgibeoni, shujaa miongoni mwa wale Thelathini, aliyekuwa kiongozi wa wale Thelathini; Yeremia, Yahazieli, Yohanani, Yozabadi Mgederathi,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 na Ishmaya Mgibeoni, shujaa miongoni mwa wale Thelathini, ambaye alikuwa kiongozi wa wale Thelathini; Yeremia, Yahazieli, Yohanani, Yozabadi, Mgederathi,

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 12:4
8 Marejeleo ya Msalaba  

Tena, watatu miongoni mwa wale thelathini waliokuwa wakuu wakashuka mwambani, wakamwendea Daudi, hadi pango la Adulamu; na jeshi la Wafilisti walikuwa wamefanya kambi bondeni mwa Warefai.


Mkubwa wao alikuwa Ahiezeri, kisha Yoashi, wana wa Shemaa Mgibeathi; na Yezieli, na Peleti, wana wa Azmawethi; na Beraka, na Yehu Mwanathothi;


Eluzai, na Yerimothi, na Bealia, na Shemaria, na Shefatia Mharufi;


wa Zabuloni, Ishmaya mwana wa Obadia; wa Naftali, Yeremothi mwana wa Azrieli;


Ndipo Yahazieli mwana wa Zekaria, mwana wa Benaya, mwana wa Yeieli, mwana wa Matania, Mlawi, wa wana wa Asafu, akajiliwa na Roho ya BWANA, katikati ya kusanyiko;


Shaarimu, Adithaimu, Gedera na Gederothaimu miji kumi na minne, pamoja na vijiji vyake.


Lakini wenyeji wa Gibeoni waliposikia habari ya hayo yote Yoshua aliyokuwa amewatenda watu wa Yeriko, na wa Ai,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo