Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 12:37 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

37 Tena, ng'ambo ya pili ya Yordani, wa Wareubeni, na wa Wagadi, na wa nusu kabila la Manase, wenye zana za vita za kupigania za kila namna, elfu mia moja na ishirini.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

37 Kutoka kabila la Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase kutoka ngambo ya mto Yordani: Watu 120,000 wenye kila aina ya silaha za vita.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

37 Kutoka kabila la Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase kutoka ngambo ya mto Yordani: Watu 120,000 wenye kila aina ya silaha za vita.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

37 Kutoka kabila la Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase kutoka ng'ambo ya mto Yordani: watu 120,000 wenye kila aina ya silaha za vita.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

37 Na pia watu kutoka mashariki mwa Yordani, watu wa Reubeni, Gadi na nusu ya kabila la Manase, wakiwa na kila aina ya silaha, walikuwa elfu mia moja na ishirini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

37 Na pia watu kutoka mashariki ya Yordani, watu wa Reubeni, Gadi na nusu ya kabila la Manase, wakiwa na kila aina ya silaha, watu 120,000.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 12:37
8 Marejeleo ya Msalaba  

Na wa Asheri, watu wawezao kwenda pamoja na jeshi, hodari wa kupanga vita, elfu arubaini.


Hao wote, watu wa vita, askari stadi, wakaja Hebroni wakiwa na nia moja ya kumtawaza Daudi awe mfalme juu ya Israeli wote; tena wote waliosalia wa Israeli nao walikuwa na moyo mmoja kwamba wamtawaze Daudi.


Kwa kuwa Musa alikuwa amekwisha kuwapa urithi hayo makabila mawili na nusu, ng'ambo ya pili ya Yordani; lakini hakuwapa Walawi urithi wowote kati yao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo