1 Mambo ya Nyakati 12:36 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC36 Na wa Asheri, watu wawezao kwenda pamoja na jeshi, hodari wa kupanga vita, elfu arubaini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema36 Kutoka kabila la Asheri: Watu 40,000 wazoefu wa vita, tayari kwa mapigano. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 Kutoka kabila la Asheri: Watu 40,000 wazoefu wa vita, tayari kwa mapigano. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 Kutoka kabila la Asheri: watu 40,000 wazoefu wa vita, tayari kwa mapigano. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu36 Watu wa Asheri, wapiganaji hodari elfu arobaini waliokuwa wameandaliwa kwa vita. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu36 Watu wa Asheri, askari 40,000 wenye uzoefu mkubwa waliondaliwa kwa ajili ya vita. Tazama sura |