Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 12:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

31 Na wa nusu kabila la Manase, elfu kumi na nane, waliotajwa majina yao, ili waje kumtawaza Daudi awe mfalme.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Kutoka nusu ya kabila la Manase: Watu 18,000, waliotajwa majina ili waje kumtawaza Daudi awe mfalme.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Kutoka nusu ya kabila la Manase: Watu 18,000, waliotajwa majina ili waje kumtawaza Daudi awe mfalme.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Kutoka nusu ya kabila la Manase: watu 18,000, waliotajwa majina ili waje kumtawaza Daudi awe mfalme.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Watu wa nusu ya kabila la Manase, waliotajwa kwa majina ili waje kumweka Daudi kuwa mfalme, watu elfu kumi na nane.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Watu wa nusu ya kabila la Manase, waliotajwa kwa majina ili waje kumweka Daudi kuwa mfalme, watu 18,000.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 12:31
4 Marejeleo ya Msalaba  

Na wa wana wa Efraimu, elfu ishirini na mia nane, wanaume mashujaa, watu wenye sifa katika koo za baba zao.


Na wa wana wa Isakari, watu wenye akili za kujua nyakati, kuyajua yawapasayo Israeli wayatende; vichwa vyao walikuwa watu mia mbili na ndugu zao wote walikuwa chini ya amri yao.


Mzaliwa wa kwanza wa ng'ombe wake mume, enzi ni yake; Na pembe zake ni pembe za nyati; Kwa hizo atayasukuma mataifa yote, hata ncha za nchi; Nao ni makumi ya maelfu ya Efraimu, Nao ni maelfu ya Manase.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo