Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 12:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

30 Na wa wana wa Efraimu, elfu ishirini na mia nane, wanaume mashujaa, watu wenye sifa katika koo za baba zao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 Kutoka kabila la Efraimu: Watu 20,800, watu mashujaa sana tena mashuhuri katika koo zao;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 Kutoka kabila la Efraimu: Watu 20,800, watu mashujaa sana tena mashuhuri katika koo zao;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 Kutoka kabila la Efraimu: watu 20,800, watu mashujaa sana tena mashuhuri katika koo zao;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 Watu wa Efraimu, mashujaa hodari elfu ishirini na mia nane, watu waliokuwa maarufu katika koo zao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 Watu wa Efraimu, mashujaa hodari 20,800, watu waliokuwa maarufu katika koo zao.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 12:30
6 Marejeleo ya Msalaba  

Nao Wanefili walikuwako duniani siku zile; tena, baada ya hayo, wana wa Mungu walipoingia kwa binti za wanadamu, wakazaa nao wana; hao ndio waliokuwa watu hodari zamani, watu wenye sifa.


Basi Abneri, mwana wa Neri, kamanda wa jeshi la Sauli, alikuwa amemtwaa Ishboshethi, mwana wa Sauli, na kumvusha na kumpeleka Mahanaimu;


akamweka awe mfalme wa Gileadi, na Waasheri, na Yezreeli, na Efraimu, na Benyamini, na juu ya Israeli wote.


Tena Abneri alinena masikioni mwa Benyamini; kisha Abneri akaenda ili kunena masikioni mwa Daudi huko Hebroni maneno yote yaliyoonekana kuwa mema machoni pa Israeli, na machoni pa nyumba yote ya Benyamini.


Na wa wana wa Benyamini nduguze Sauli, elfu tatu; kwani hata sasa walio wengi wao walikuwa wameuhifadhi uaminifu wao kwa nyumba ya Sauli.


Na wa nusu kabila la Manase, elfu kumi na nane, waliotajwa majina yao, ili waje kumtawaza Daudi awe mfalme.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo