Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 12:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

29 Na wa wana wa Benyamini nduguze Sauli, elfu tatu; kwani hata sasa walio wengi wao walikuwa wameuhifadhi uaminifu wao kwa nyumba ya Sauli.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 Kutoka kabila la Benyamini, (kabila la Shauli): Watu 3,000. Wengi wao walibaki waaminifu kwa jamaa ya Shauli;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 Kutoka kabila la Benyamini, (kabila la Shauli): Watu 3,000. Wengi wao walibaki waaminifu kwa jamaa ya Shauli;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 Kutoka kabila la Benyamini, (kabila la Shauli): watu 3,000. Wengi wao walibaki waaminifu kwa jamaa ya Shauli;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 Watu wa Benyamini, ndugu zake Sauli, walikuwa elfu tatu; wengi wao walikuwa wameendelea kuwa waaminifu kwa Sauli hadi wakati huo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 Watu wa Benyamini, ndugu zake Sauli, walikuwa 3,000; wengi wao walikuwa wameendelea kuwa waaminifu kwa Sauli mpaka wakati huo.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 12:29
7 Marejeleo ya Msalaba  

akatwaa ndugu zake pamoja naye, akamfuata mwendo wa siku saba. Akampata katika mlima wa Gileadi.


Tena Abneri alinena masikioni mwa Benyamini; kisha Abneri akaenda ili kunena masikioni mwa Daudi huko Hebroni maneno yote yaliyoonekana kuwa mema machoni pa Israeli, na machoni pa nyumba yote ya Benyamini.


na Sadoki, mwana wa Ahitubu, na Ahimeleki, mwana wa Abiathari walikuwa makuhani; na Shausha mwandishi;


Walikuwa wenye kupinda upinde, nao walikuwa hodari wa kutumia mkono wa kulia na wa kushoto, kwa kutupa mawe ya teo, na kwa kupiga mishale ya upinde; walikuwa wa nduguze Sauli, wa Benyamini.


Na wa wana wa Efraimu, elfu ishirini na mia nane, wanaume mashujaa, watu wenye sifa katika koo za baba zao.


wa Lawi, Hashabia mwana wa Kemueli; wa Haruni, Sadoki;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo