Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 12:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

27 Na Yehoyada alikuwa kichwa cha ukoo wa Haruni, na pamoja naye walikuwa watu elfu tatu na mia saba;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Yehoyada, wa uzao wa Aroni na wenzake: Watu 3,700.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Yehoyada, wa uzao wa Aroni na wenzake: Watu 3,700.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Yehoyada, wa uzao wa Aroni na wenzake: watu 3,700.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 pamoja na Yehoyada, kiongozi wa jamaa ya Haruni, aliyekuwa na watu elfu tatu na mia saba,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 pamoja na Yehoyada, kiongozi wa jamaa ya Haruni, aliyekuwa pamoja na watu 3,700,

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 12:27
8 Marejeleo ya Msalaba  

Hata mwaka wa saba Yehoyada akatuma, na kuwaleta wakuu wa mamia, wa Wakari, na wa walinzi, akawaleta kwake ndani ya nyumba ya BWANA; akapatana nao, akawaapisha nyumbani mwa BWANA, akawaonesha huyo mwana wa mfalme.


Nao wakuu wa mamia wakafanya sawasawa na yote aliyowaamuru Yehoyada kuhani; wakawatwaa kila mtu watu wake, hao watakaoingia sabato, nao watakaotoka sabato, wakaja kwa Yehoyada kuhani.


Na kamanda wa askari walinzi akamtwaa Seraya, kuhani mkuu, na Sefania, kuhani wa pili, na wale walinzi watu wa mlango;


Wa wana wa Lawi, elfu nne na mia sita.


tena Sadoki, kijana shujaa, na wa nyumba ya babaye, makamanda ishirini na wawili.


wa Lawi, Hashabia mwana wa Kemueli; wa Haruni, Sadoki;


naye Finehasi, mwana wa Eleazari, alikuwa mkuu wao hapo zamani, naye BWANA alikuwa pamoja naye.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo