1 Mambo ya Nyakati 12:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Wa wana wa Simeoni, wanaume mashujaa wa vita, elfu saba na mia moja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Kutoka kabila la Simeoni, watu 7,100 mashujaa na wenye ujuzi mwingi wa vita. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Kutoka kabila la Simeoni, watu 7,100 mashujaa na wenye ujuzi mwingi wa vita. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Kutoka kabila la Simeoni, watu 7,100 mashujaa na wenye ujuzi mwingi wa vita. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Watu wa Simeoni, mashujaa waliokuwa wamejiandaa kwa vita, walikuwa elfu saba na mia moja. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Watu wa Simeoni, mashujaa waliokuwa tayari kwa vita walikuwa 7,100. Tazama sura |