Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 12:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

24 Wana wa Yuda, waliochukua ngao na mkuki, walikuwa elfu sita na mia nane, wenye silaha za vita.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Watu wa kabila la Yuda waliokuwa na mikuki na ngao, walikuwa 6,800. Wote walikuwa na silaha zao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Watu wa kabila la Yuda waliokuwa na mikuki na ngao, walikuwa 6,800. Wote walikuwa na silaha zao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Watu wa kabila la Yuda waliokuwa na mikuki na ngao, walikuwa 6,800. Wote walikuwa na silaha zao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 watu wa Yuda, wanaochukua ngao na mikuki walikuwa elfu sita na mia nane wakiwa tayari kwa vita.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 watu wa Yuda, wanaochukua ngao na mikuki walikuwa 6,800 wote wakiwa tayari kwa vita.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 12:24
6 Marejeleo ya Msalaba  

Fimbo ya enzi haitaondoka katika Yuda, Wala mfanya sheria kati ya miguu yake, Hata atakapokuja Yeye, mwenye milki, Ambaye mataifa watamtii.


Ndipo watu wa kabila zote za Israeli wakamwendea Daudi huko Hebroni, wakasema naye, wakinena, Tazama, sisi tu mfupa wako na nyama yako.


Ndipo Israeli wote wakamkusanyikia Daudi huko Hebroni, wakisema, Tazama, sisi tu mfupa wako na nyama yako.


Basi hawa ndio wakuu wa mashujaa aliokuwa nao Daudi, waliojitia nguvu pamoja naye katika ufalme wake, pamoja na Israeli wote, ili kumfanya awe mfalme, sawasawa na neno la BWANA alilonena juu ya Israeli.


Na hizi ni hesabu za vichwa vya watu wenye silaha za vita, waliokuja Hebroni kwa Daudi, ili kumpa ufalme wa Sauli, sawasawa na neno la BWANA.


Wa wana wa Simeoni, wanaume mashujaa wa vita, elfu saba na mia moja.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo