1 Mambo ya Nyakati 12:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Tena wakafika ngomeni kwa Daudi baadhi ya wana wa Benyamini na Yuda. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Baadhi ya watu kutoka makabila ya Benyamini na Yuda walifika ngomeni alipokuwa Daudi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Baadhi ya watu kutoka makabila ya Benyamini na Yuda walifika ngomeni alipokuwa Daudi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Baadhi ya watu kutoka makabila ya Benyamini na Yuda walifika ngomeni alipokuwa Daudi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Wabenyamini wengine na baadhi ya watu kutoka Yuda pia walikuja kwa Daudi katika ngome yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Wabenyamini wengine na baadhi ya watu kutoka Yuda pia walikuja kwa Daudi katika ngome yake. Tazama sura |