1 Mambo ya Nyakati 12:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Hao ndio wale waliovuka Yordani katika mwezi wa kwanza, ulipofurika kingo zake zote; nao wakawakimbiza wote wa bondeni kuelekea mashariki na magharibi pia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Hawa ndio watu waliovuka mto Yordani mnamo mwezi wa kwanza, mto ulipokuwa umefurika pande zote na kuwatawanya watu mashariki na magharibi ya mto. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Hawa ndio watu waliovuka mto Yordani mnamo mwezi wa kwanza, mto ulipokuwa umefurika pande zote na kuwatawanya watu mashariki na magharibi ya mto. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Hawa ndio watu waliovuka mto Yordani mnamo mwezi wa kwanza, mto ulipokuwa umefurika pande zote na kuwatawanya watu mashariki na magharibi ya mto. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Hao ndio walivuka Mto Yordani katika mwezi wa kwanza ukiwa umefurika hadi kwenye kingo zake zote, wakawatorosha watu wote walioishi kwenye mabonde, kuelekea mashariki na magharibi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Wao ndio walivuka Mto Yordani katika mwezi wa kwanza ukiwa umefurika hadi kwenye kingo zake zote na kusababisha watu wote waliokuwa wanaishi kwenye mabonde kukimbilia mashariki na wengine magharibi. Tazama sura |